Kuhusu Sisi

Utangulizi

Kwaya ya Mt. Stefano Shahidi ni familia ya waimbaji wa Parokia ya Kipawa, iliyoanzishwa mwaka 1975 kwa lengo la kuongoza ibada kwa nyimbo na kuimarisha imani ya waumini kupitia muziki wa kiliturujia. Kwa zaidi ya miaka hamsini, kwaya imeendelea kutumikia Kanisa kwa moyo wa unyenyekevu, umoja na shauku ya kumtukuza Mungu.

Ilianzishwa: 1975